Rais Samia afanya uteuzi TRA

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Bw.Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kipindi cha miaka mitatu.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Februari 1, 2022 na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu), Jaffar Haniu.


Post a Comment

0 Comments