Taarifa MAALUM kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC)


Usikose kutazama kipindi MAALUM leo Februari 2,2022 kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) katika runinga ya Taifa TBC 1 saa 12:30 jioni.

TAEC iliundwa kwa Sheria ya Nguvu za Atomu Na. 7 ya Mwaka 2003 (Atomic Energy Act No.7 of 2003).Sheria ya Bunge Na. 7(2003) ilifuta Sheria Na.5 ya mwaka 1983 (The Protection from Radiation, No. 5 of 1983) iliyoanzisha Tume ya Taifa ya Mionzi (National Radiation Commission).

Sheria hii imeipa TAEC mamlaka ya kudhibiti matumizi salama ya mionzi nchini ikiwemo kuhamasisha matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia nchini.

Post a Comment

0 Comments