Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 3, 2022


NA GODFREY NNKO

LEO Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2588.03 na kuuzwa kwa shilingi 2614.146.

Huku Franka ya Burundi ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206.

Pia dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2286.65 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.52.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 3, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3102.8 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3135.63.

Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.51 huku ikiuzwa kwa shilingi 363.05 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 20.0092 na kuuzwa kwa shilingi 20.21.

Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 149.65 na kuuzwa kwa shilingi 151.06 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.15 na kuuzwa kwa shilingi 20.32.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news