Watch Tanzania inakualika leo katika mjadala utakaoangazia Mwaka Mmoja wa Rais Samia Madarakani; Mafanikio katika Sekta ya Elimu

WATCH TANZANIA inakualika kushiriki Mkutano utakaofanyika leo Februari 12, 2022 (Jumamosi) kupitia mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. 
Mada: Mwaka Mmoja wa Rais Samia Madarakani; Mafanikio katika Sekta ya Elimu

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/3rIK4Xf

Au kupitia


Meeting ID: 892 34183874


Passcode: 532928


Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili mafanikio katika Sekta ya Elimu kwa kipindi Cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia madarakani. Usikose!

Post a Comment

0 Comments