WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YAKE


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu Waziri, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali Suleiman Mzee, kabla ya kuanza kwa kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news