🔴LIVE:Kongamano la Tathimini ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais Samia madarakani

LEO Machi 19,2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatimiza mwaka mmoja wa uongozi wake madarakani. Katika safari ya mwaka mmoja ya uongozi wake, Taifa limeshuhudia mafanikio makubwa katika nyanya mbalimbali, tazama kongamano la tathmini ya mwaka mmoja linaloendelea muda huu jijini Dodoma;

Post a Comment

0 Comments