Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete apokea ripoti ya migogoro ya ardhi mkoani Pwani


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika Februari 28,2022 jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa maelekezo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Pwani Bi. Lucy Kabyemera akiwasilisha taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete, katika kikao kilichofanyika jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya ziara ya utatuzi wa migogoro ya ardhi mkoani Pwani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news