Orodha ya waliochaguliwa na BASATA kuwania Tuzo za Muziki Tanzania

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza majina ya wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za muziki ambapo wasanii kutoka lebo ya WCB hawapo.
Orodha hiyo imetolewa Machi 19, 2022 na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Matiko Mniko

Post a Comment

0 Comments