Rais Dkt.Mwinyi ajionea kazi zinazofanywa na Asasi za Kiraia nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na viongozi wa Serikali na Asasi za Kiraia Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja jijini Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho, Bw.Suleiman Masoud Nyuki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi, Bw.Mohammed Farid Hussein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue” na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo, Bw. Hashim Pondeza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la SOS na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi SOS, Bi.Asha Salim Ali. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments