Rais Samia ateta na ujumbe muhimu kutoka UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Maitha Al Shamsi ambaye ni Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Ikulu jijini Dodoma leo Machi 31, 2022. Huu ni mwendelezo wa matokeo chanya ya ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Ikulu jijini Dodoma leo Machi 31, 2022. Huu ni mwendelezo wa matokeo chanya ya ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news