Waziri Mheshimiwa Saada Mkuya Salum akabidhi ofisi kwa Waziri Harusi Said Suleiman

Waziri wa Nchi, Afosi ya Rais, Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya Salum,amekabidhi ofisi yake ya Waziri wa Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais kwa Bi.Harusi Said Suleiman kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Zanzibar yaliofanywa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

Post a Comment

0 Comments