Aprili 9,2022 ni Mjadala wa Kitaifa ukiangazia Mapinduzi ya Kilimo ndani ya Mwaka mmoja wa Rais Samia na umuhimu wa kugawa vitendea kazi kwa Maofisa Ugani USIKOSE!

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum (Mjadala wa Kitaifa) utakaofanyika Aprili 9, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi 12:30 jioni.
Mada; Mapinduzi ya kilimo ndani ya mwaka mmoja wa Rais samia na umuhimu wa kugawa vitendea kazi kwa Maofisa Ugani

Muda utakapokifika (Saa 10 kamili, Aprili 9, 2022 - Jumamosi) jiunge na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/3LDuKC0

Au kupitia

Meeting ID: 87079670083

Passcode: 063624

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja mapinduzi ya kilimo ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia na Umuhimu wa Kugawa vitendea kazi kwa Maofisa Ugani. Usikose!

#KilimoNiBiashara

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news