Joviet:Nimeupiga umaskini teke, sasa ninamiliki hoteli zangu

NA MWANDISHI WETU

MKAZI wa Kilimanjaro, Bi.Joviet amesema kuwa, baada ya kuuza chakula kwa miaka mingi mjini bila mafanikio tangu mume wake alipoamua kumuacha na kuoa mwanamke mwingine, hatimaye amefanikiwa kuupiga umaskini teke kwa siku chache.
Ameyasema hayo mjini hapa wakati akitoa ushuhuda juu ya namna ambavyo Dkt.Kiwanga alivyobadilisha maisha yake kwa siku chache baada ya kuwasiliana naye kwa njia ya simu na kufuata maelekezo.

"Mume wangu aliponiacha nilipitia kipindi kigumu katika maisha yangu, hasa kulipa kodi,kuwapatia watoto chakula,mavazi na huduma nyingine muhimu ambazo walipaswa kuzipata.

"Sikuwa na kazi yoyote, muda huo nilikuwa mama wa nyumbani tu,elimu yangu ni darasa la saba, hivyo mume wangu aliniacha akijua nitahangaika ila Mungu hamtupi mja wake siku zote.Nilianza kutafuta kazi ili watoto wangu wapate vitu muhimu, hatimaye nikapata kazi ya kuwa house girl katika nyumba moja ya Mzungu hapa Kilimanjaro.

"Kazi hiyo nilikuwa ninalipwa shilingi 30,000 tu kwa mwezi, japo chakula na malazi nilikuwa ninapewa ila nilikuwa nimepewa mashariti makubwa sana.

"Mashariti hayo ni pamoja na kutakiwa kutoka nje baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kwenda kuwaona watoto wangu. Kutokana na hali niliyokuwa nayo nilikubali, kisha nikaanza kufanya kazi.Nilikutana na changamoto na mitihani mikubwa sana kutoka kwa mke wa bosi wangu, ila nilijitahidi sana kwa sababu nilijua kila kazi ina changamoto zake, hivyo nikaona ni vema kuvumilia.

"Kabla ya miezi mitatu tangu nianze kufanya kazi, nilipata habari kuwa mtoto wangu mdogo mwenye umri wa miaka mitano anaumwa.Nilivyopata habari hizo nilimuomba ruhusa bosi wangu wa kiume, akaniruhusu ila mke wake alikataa kabisa na kuniambia kuwa, mkataba wangu unasema ninaruhusiwa kutoka nje baada ya miezi mitatu.Ilinibidi nivumirie tu,ila baada ya wiki jirani yangu alinipigia simu kuwa mtoto hali yake inazidi kuwa mbaya.

"Sikuwa na jinsi zaidi ya kufunga vitu vyangu, kisha kuomba kuondoka.Mke wa bosi wangu alikubali kuwa kama nimeamua kuondoka hamna shida na mkataba unasema,mfanyakazi akivunja mkataba halipwi pesa yoyote, hivyo nilitoka bila hata mia zaidi ya kuambulia matusi.Nilipofika nyumbani nilimchukua mtoto wangu kwenda hospitali, kisha akapata huduma.

"Mtoto alipopona nilikuwa sina nafasi ya kurudi tena kazini, ilibidi nitafute kazi nyingine, lengo likiwa ni kupata mtaji ili niweze kujiajiri mwenyewe,hatimaye nilipata mtaji,kisha nikaanzisha biashara ya kupika chakula na kuuza.Mwanzo biashara ilikuwa nzuri, ila kadri siku zilivyozidi kwenda biashara ikawa mbaya, ninapika chakula kinabaki.

"Chakula kubaki hiyo ilikuwa ni hasara kwangu, ila nilivumilia kwa miezi sita, hatimaye nikaona nahitaji usaidizi maana kila mteja anayekula chakula changu siku ya kwanza anasema ni kitamu na kuahidi kuwa atarudi tena ila siku inayofuata unamuona yule yule anakwenda kula pengine.

"Siku moja walikuja vijana wawili katika kibanda changu wakihitaji chakula. Nikiwa ninawapakulia chakula walianza kuzungumza kuhusu Dokta Kiwanga ambaye amewasaidia kupata wasichana ambao walikuwa wanawatongoza wanawakataa kwa muda mrefu,mazungumzo yao nakumbuka yalikuwa kama hivi.

...yule Dokta Kiwanga ni kiboko, unajua Irine amenikataa kwa miaka miwili ila kwa sasa kila muda ananipigia simu na kuomba tuonane...Ismail acha zako , sasa mimi Catherine jana amenipigia simu eti anaomba niende kwao wanione ili tuanze kuishi wote.

"Kisha wakacheka kwa furaha kubwa, kabla hawajaondoka niliamua nitumie nafasi ile, hivyo niliwaomba namba ya simu ya Dokta Kiwanga ambayo ni +254 769404965. Baada ya kunipatia namba wakaondoka zao.

"Fedha walizonilipa niliweka muda wa maongezi wa kutosha, kisha kuwasiliana na Dokta Kiwanga.Ndipo Dokta Kiwanga akanipatia maelekezo jinsi ambavyo nitaweza kupata msaada wa haraka,nilifuata maelekezo yale, hatimaye nikapata pete ambayo nilichagua.Na kwa sasa mimi siyo mama ntilie tena ila ninamiliki hoteli kubwa hapa Kilimanjaro na Arusha pia biashara yangu kila mwezi mauzo yanapanda kwa kasi sana,"amefafanua Joviet.

Kiwangadoctors wanatibu magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo (pressure),kaswende,tatizo la nguvu za kiume na kisonono.

Pia wanatatua shida mbalimbali za kila siku kama kurudisha mpenzi wako aliyekuacha,kufunga mume au mke asiende nje ya ndoa,kupandishwa cheo kazini na kushinda michezo ya bahati nasibu. Wasiliana na Kiwangadoctors kwa namba +254 769404965,barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news