🔴LIVE: Waziri Bashungwa akishiriki hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya TEHAMA kwa Vituo vya Walimu na Shule Teule

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mheshimiwa Innocent Bashungwa akishiriki katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya TEHAMA kwa Vituo vya Walimu na Shule Teule, inayofanyika katika Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa iliyopo Ilala,Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments