🔴LIVE:BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA BAJETI KIKAO CHA SABA LEO APRILI 14, 2022

Karibu katika matangazo ya moja kwa moja ya Bunge la 12 Mkutano wa Saba wa Bunge la Bajeti Kikao cha Saba leo Aprili 14,2022.

RATIBA:

 i) DUA 

ii) HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS (TAMISEMI) - 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa 

iii) MASWALI - 

Ofisi ya RAIS (TAMISEMI) - 

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum - 

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - 

Wizara ya Fedha na Mipango 

iv) HOJA ZA SERIKALI - Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS (TAMISEMI)

Post a Comment

0 Comments