🔴 LIVE:Mjadala wa Kitaifa kuhusu Tathimini ya Diaspora juu ya utendaji wa Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu unaofanyika leo Aprili 2, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi 12:30 jioni
Mkutano huu unahusu:Tathimini ya Diaspora juu ya utendaji wa Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita.

Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/3DsgwRU

Au kupitia

Meeting ID: 82381081922

Passcode: 282234

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tufuatilie kwa pamoja Tathmini ya Diaspora kuhusu utendaji wa Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Usikose.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments