Naibu Katibu Mkuu, Kailima alipongeza Jeshi la Uhamiaji kwa mafanikio makubwa ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

NA DIRAMAKINI

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.Ramadhan Kailima amelipongeza Jeshi la Uhamiaji nchini kwa kupata mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Ameyasema hayo Aprili 4, 2022 katika Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA) kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro wakati akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Uhamiaji nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news