Orodha ya taasisi, mashirika, wadau wanaotoa salamu za kuwatakia waumini wa dini ya kiislamu mfungo mwema

Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukiwa umeanza leo Aprili 3, 2022, uongozi wa DIRAMAKINI BLOG unatoa rai kwa waumini wa Kiislamu na Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo na mshikamano huku katika ibada zao wakimuomba Mwenyenzi Mungu/Mungu aendelee kustawisha amani kila kona ya Dunia.

Sambamba na kuiepusha Dunia yetu na wote wenye hila mbaya ambao mara nyingi matamanio yao ni kuona wanatumia hali ya kutokuelewana baina ya kikundi kimoja na kingine ili waweze kujinufaisha.
"Tunaungana na Watanzania wote, kutoa salamu za kuwatakia waumini wa dini ya kiislamu mfungo mwema, tunatambua mwezi huu mtukufu unakuja wakati ambao kunashuhudiwa mazingira magumu zaidi katika pande nyingi za Dunia, lakini kwa sala zetu Mwenyenzi Mungu atatuvusha;



Tazama hapa kwa maboresho mapya kila saa

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news