Rais Dkt.Mwinyi ziarani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Pemba. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kikazi ya Siku mbili Pemba.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news