Rais Samia ashiriki futari na Watanzania waishio California Kusini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Watanzania wanaoishi katika Jimbo la California Kusini (Southern California) nchini Marekani baada ya futari leo. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments