Rais Samia ateta na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia akizungumza jambo na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS nchini Marekani, Bi. Gayle King wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani jijini New York. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments