Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Vicky Ford ambaye ni Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Aprili 3, 2022. (Picha na Ikulu).


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Vicky Ford Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.