Spika Dkt.Tulia ashiriki ibada ya Kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala nchini Uganda leo Aprili 6, 2022. (Picha na Bunge).

Post a Comment

0 Comments