Tandoori House Kitchen Arusha inavyowapa heshima Watanzania, wageni kwa vyakula vitamu na vinywaji

NA MWANDISHI WETU

HUU ni mgahawa uliojengwa kwa hadhi ya Kimataifa ukiwa umezungukwa na bustani nzuri ambayo wakati unaendelea kupata chakula chako huku ukishushia na kinywaji unaendelea kufaidi upepo mwanana kutoka Mlima Meru.
Tandoori House Kitchen Arusha ambayo ipo Mianzini jijini Arusha, ni miongoni mwa migahawa michache ndani na nje ya Afrika Mashariki ambayo inatoa vyakula bora vikiwemo vya Kihindi.

Upekee huo ndiyo unaowafanya wao kushika namba moja jijini Arusha kwa kutoa huduma za kisasa na kutoza fedha za chakula kupitia shilingi ya Tanzania

Tandoori House Kitchen Arusha wanaongoza kwa huduma bora na bei nafuu kuliko mgahawa mwingine wowote wa Kihindi jijini Arusha,ukiwa na wabobezi wa chakula pia una ofisi yake nchini Marekani, Canada na Uingereza.

Ifuatayo hapa chini ndiyo MENU ya Tandoori House Kitchen Arusha;
Tandoori House Kitchen Arusha for Quality and Cheaper than all other Indian Restaurant in Arusha. There are only three restaurants in Arusha. We are the TOP 01 with an office in USA,Canada and UK. We charge in Tanzania shilings. This place was open by our legendary Indian Food advisor Chef. Come and enjoy the AMAZING.

Post a Comment

0 Comments