Hizi hapa ajira za Sensa ya Watu na Makazi 2022, tazama namna ya kujaza fomu (HAUPASWI KULIPA FEDHA NI BURE)

*Ajira hizi ni kwa Watanzania wote waliotimiza vigezo, haupaswi kutoa fedha kutuma maombi ni bure

NA DIRAMAKINI

SERIKALI imesema mchakato wa kuwapata makarani na wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu umeanza Mei 5 hadi Mei 19, mwaka huu ambapo waombaji ni wenye umri kati ya miaka 18 hadi 45.
Aidha, Serikali imewaonya watu wenye nia isiyo njema kwa zoezi la sensa ambao wamekuwa wakijaribu kutoa matangazo ya ajira za sensa kwa nia ya kuwatapeli wananchi wanaohitaji kushiriki katika zoezi la sensa huku ikielezwa kuwa kwa wote watakaobainika watasakwa na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Bunge Sera,Uratibu,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu, George Simbawene ameyasema hayo Mei 5,2022 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ajira hizo za muda katika maandalizi ya kuelekea kwenye sensa.

Amesema,ajira hizo zitaombwa kupitia mtandao na hazitahusisha malipo ya aina yoyote kwa mwombaji wa ajira huku akisema mchakato wa kuchambua maombi ya kazi pamoja na usaili utasimamiwa na Kamati Maalum itakayoundwa katika ngazi ya kila wilaya.

JAZA KIPENGELE HIKI KIKAMILIFU:Kujaza fomu ya maombi ya kazi za sensa

Aidha, amesema usaili utafanyika katika ngazi ya wilaya kwa wasimamizi wa TEHAMA.“Niwaombe watanzania wote wenye sifa ambao wangependa kuomba nafasi za ajira za makarani na wasimamizi wa sensa kufuata utaratibu uliowekwa kwa ukamilifu ili kuomba nafasi hizo ambazo kazi za kufanya pamoja na sifa za mwombaji zimebainishwa katika tangazo la ajira za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2022,”amesema Simbachawene na kuongeza kuwa;

>Ingia kwenye mfumo kukamilisha usajili(Kubadilisha taarifa na kupandisha  fomu Na. 1 ya maombi ya kazi za sensa ILIYOSAINIWA

Ingia kwenye mfumo kukamilisha usajili(Kubadilisha taarifa na kupandisha  fomu Na. 1 ya maombi ya kazi za sensa ILIYOSAINIWA) bonyeza hapa

“Mfumo wa kuomba ajira hizi kupitia mtandao unapatikana kupitia www.pmo.go.tz,www.tamisemi.go.tz,www.nbs.go.tz kwa Tanzania Bara na www.ompr.go.tz,https//www.tamisemim.go.tz au www.ocgs,go.tz kwa wale wanaoomba Tanzania Zanzibar na kupitia tovuti hizo waombaji watapata tangazo kamili la kazi lenye orodha ya nafasi zilizopo katika sense pamoja na vigezo vinavyohitajika.”

Post a Comment

42 Comments

 1. Katika vipengele vya "Sehem utakayo fanyia kazi" imekuwa shida katika uchaguzi wa sehem hapaonyeshi kitu chochote za idi ya mkoa na wilaya tu. Sehem zingine no result!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mi mwenyew kwa upande huo nimechemka aisee, sijajua shda ni nin

   Delete
  2. Ukiwa na changamoto yoyote, wasiliana na moja wapo ya namba inayoonekana kwenye dashboard ya tangazo baada ya kulifungua

   Delete
  3. Angalia kwa umakini unapofany selection ya eneo kati ya uliyo yataja linatokea eneo husika nje ya kibox ambalo limekuwa bolded

   Delete
  4. Tunajaribu kujaza mahala pa kufanyia kazi bado inakataaa mkuuu

   Delete
  5. mbona muda wote zipo busy

   Delete
  6. Hizo namba miyeyusho tu hawapokei simu kamwe

   Delete
 2. Nahitaji saana hiyo ni frusa kwangu

  ReplyDelete
  Replies
  1. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU
   Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi.

   Hakikisha Taarifa zote unazojaza ni za kwako.

   Namba ya Simu itatumika mara moja tu. Hakikisha unajaza namba ya simu ambayo haijatumiwa na mtummwingine kufanya maombi ya ajira.

   Hakikisha barua pepe (email) unayotumia ni ya kwako na inafanyakazi. Barua Pepe itatumika mara moja tu.

   Baada ya kutuma maombi Pakua Fomu Na. 1 ili ikajazwe na Wadhani Pamoja na viongozii wa serikali ya Mtaa utakapofanyia kazi.

   Jina la Mtumiaji na Nywila vitatumwa katika barua pepe (email) uliyoijaza hapo juu (Dondoo namba 3).

   Ili kukamilisha maombi yako, Tumia Barua Pepe na Nywila uliyotumiwa ili kupakia Fomu Na. 1 iliyosainiwa.

   Delete
  2. Jaman kuhusu Ku edit tarifa nilizojaza kimakosa, mfano nimekosea kujaza gmail bahati mbaya nikasubmit tarifa zangu ko gmail iliyoenda haipo haifanyi kazi na bado sijapata ile form ya kujaza, namba za wahudum hazipatikani na wakati mwingine muda wrote zinatumika, nifanyaje?

   Delete
 3. Mtandao shida sijui hawaon

  ReplyDelete
  Replies
  1. Watu wasio naajira serikali iwaangalie nao wajipatie angalau mitaji

   Delete
  2. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU
   Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi.

   Hakikisha Taarifa zote unazojaza ni za kwako.

   Namba ya Simu itatumika mara moja tu. Hakikisha unajaza namba ya simu ambayo haijatumiwa na mtummwingine kufanya maombi ya ajira.

   Hakikisha barua pepe (email) unayotumia ni ya kwako na inafanyakazi. Barua Pepe itatumika mara moja tu.

   Baada ya kutuma maombi Pakua Fomu Na. 1 ili ikajazwe na Wadhani Pamoja na viongozii wa serikali ya Mtaa utakapofanyia kazi.

   Jina la Mtumiaji na Nywila vitatumwa katika barua pepe (email) uliyoijaza hapo juu (Dondoo namba 3).

   Ili kukamilisha maombi yako, Tumia Barua Pepe na Nywila uliyotumiwa ili kupakia Fomu Na. 1 iliyosainiwa.

   Delete
 4. Hili jambo la mtandao ni shida nyingine sababu inatutesa sisi watumiaji pia tunashindwa kukamilisha maombi yetu, nikiwemo mimi pia sijakamilisha maombi.
  IT tusaidie hii changamoto.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Shida nikubwa sana mfumo wa mtaandao nimzuri ila una mapungufu japo sio mengi mfano form 1 ina page zaidi ya moja na kupakia zinatakiwa zote kwabahat mbaya nimepakia page 1 ikaingia hio hio zingingine zika baki na pia hakuna pahala pakufuta maombi kama umekosea?

   Delete
  2. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU
   Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi.

   Hakikisha Taarifa zote unazojaza ni za kwako.

   Namba ya Simu itatumika mara moja tu. Hakikisha unajaza namba ya simu ambayo haijatumiwa na mtummwingine kufanya maombi ya ajira.

   Hakikisha barua pepe (email) unayotumia ni ya kwako na inafanyakazi. Barua Pepe itatumika mara moja tu.

   Baada ya kutuma maombi Pakua Fomu Na. 1 ili ikajazwe na Wadhani Pamoja na viongozii wa serikali ya Mtaa utakapofanyia kazi.

   Jina la Mtumiaji na Nywila vitatumwa katika barua pepe (email) uliyoijaza hapo juu (Dondoo namba 3).

   Ili kukamilisha maombi yako, Tumia Barua Pepe na Nywila uliyotumiwa ili kupakia Fomu Na. 1 iliyosainiwa.

   Delete
  3. Sorry vitu vingi nimeshaa kwa mfano Cheti Cha kuzaliwa kilishaa potea halafu pia naingza namba ya nida inanambia haiingizwi hivo he inaingizwaje jamani msaada

   Delete
 5. Naomba kufaam Kama mtu a metimiza vigezo na mashariti vyote ispokuwa namba ya nida anaruhusiwa kutuma maombi?

  ReplyDelete
  Replies
  1. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU
   Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi.

   Hakikisha Taarifa zote unazojaza ni za kwako.

   Namba ya Simu itatumika mara moja tu. Hakikisha unajaza namba ya simu ambayo haijatumiwa na mtummwingine kufanya maombi ya ajira.

   Hakikisha barua pepe (email) unayotumia ni ya kwako na inafanyakazi. Barua Pepe itatumika mara moja tu.

   Baada ya kutuma maombi Pakua Fomu Na. 1 ili ikajazwe na Wadhani Pamoja na viongozii wa serikali ya Mtaa utakapofanyia kazi.

   Jina la Mtumiaji na Nywila vitatumwa katika barua pepe (email) uliyoijaza hapo juu (Dondoo namba 3).

   Ili kukamilisha maombi yako, Tumia Barua Pepe na Nywila uliyotumiwa ili kupakia Fomu Na. 1 iliyosainiwa.

   Delete
 6. Nimetuma maombi lakini sijapata neno la Siri la kuingia kupata from ni 1 msaaa please

  ReplyDelete
 7. Mbona ukifika kwenye mahali pa kufanyia kazi haionyeshi? Pia ukifika kwenye halmashauri, tarafa,kata, kijiji hamna kitu

  ReplyDelete
 8. Jaman mbona vipengele vingine ni mizinguo tu? Kuanzia jimbo mpaka kijij mi naona inagoma, ukiandika jimbo inaleta et "no result" aliefaul upande huu anisaidie ndg zang

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wasiliana na moja kati ya namba zinazoonekana kwenye dashboard ya tangazo baada ya kulifungua kuna namba zinazoonekana juu. Kila la heri

   Delete
  2. Siyo rahis kujibu maswali yote Lakin Ombi Lang nikwamba mngerekebisha mfumo ili kama mtu a nakosea arudie.. Username na password Naz ni changamot wakuu

   Delete
 9. Fomu ziko wapi?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pitia taarifa hii kwa umakini, kila kitu utakiona. Kila la heri

   Delete
  2. Samahan ivi ukikose kujaz taarif unafanyaje ili kubadil hiz taarifa

   Delete
 10. MAELEZO/ DODNDOO MUHIMU
  Soma Tangazo la Ajira kwa umakini, kabla ya kutuma maombi.

  Hakikisha Taarifa zote unazojaza ni za kwako.

  Namba ya Simu itatumika mara moja tu. Hakikisha unajaza namba ya simu ambayo haijatumiwa na mtummwingine kufanya maombi ya ajira.

  Hakikisha barua pepe (email) unayotumia ni ya kwako na inafanyakazi. Barua Pepe itatumika mara moja tu.

  Baada ya kutuma maombi Pakua Fomu Na. 1 ili ikajazwe na Wadhani Pamoja na viongozii wa serikali ya Mtaa utakapofanyia kazi.

  Jina la Mtumiaji na Nywila vitatumwa katika barua pepe (email) uliyoijaza hapo juu (Dondoo namba 3).

  Ili kukamilisha maombi yako, Tumia Barua Pepe na Nywila uliyotumiwa ili kupakia Fomu Na. 1 iliyosainiwa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ayo maelezo bado siyo msaada.. Mfumo ni changamoto no reverse?? Ukikosea umekwisha

   Delete
 11. Ukikose kujaza taarifa unafanyanyaj ili kurekebisha

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimetuma maombi lakin nywila sjapta na fomu ya kupaka haijaja nikirudia kutuma wanasema nimeshatuma maombi

   Delete
 12. Ni lazima kutuma maombi sehemu ulipo au sehemu yeyote ile kwa mfano upo Mwanza ukatuma maombi ukafanyie Arusha inawezekana ukirelate na wengine ni wanafunzi

  ReplyDelete
 13. nataka kujua je eneo unalotaka kufanyia maombi ya kazi ya sensa na makazi lazima uwe unalijua yaan kwamba mpaka uwe una origin ya pale?

  ReplyDelete
 14. Mimi sasaivi naambiwa Ni huwushe sehemu ya jinsia kule kwenye Akaunti yangu kwakutumia kitufe Cha huisha lakin kwasasa icho kitufe hakipo nifanyajee?

  ReplyDelete
 15. Mimi nimekamilisha kujaza fomu namba 1 pianawadhamini wamesaini na mtendaji amesaini hata viambatanisho nimeweka ila nataka jinsi ya kuviona kwenye mtandao kama nilivyo vituma

  ReplyDelete
 16. Mbona jamani mtandao unasumbua hvyo

  ReplyDelete
 17. mimi nimekamilisha kujaza fomu tatizo nilikosea email hivyo ujumbe wa barua pepe wenye password ya kuingia kwenye mfumo sijaupata hata kwenye sms za kawaida naomba msaada namba ya simu ni 0683895234

  ReplyDelete
 18. Mimi joshua amon sarakikiya nikituma maombi naandikiwa namba mtihani imetumika na ya simu pia na mimi sijapata ujumbe wowote

  ReplyDelete
 19. Naitwa lilian Jackson Nkwao naomba msaada kupata namba ya form namba moja nilikosea kuandika password typing error

  ReplyDelete
 20. Password mlizonitumia haifanyi kazi haswa wakati wa kupakia form namba 1 iliyosainiwa gracebulungu

  ReplyDelete