Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea miundombinu ya DUWASA


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (wa nne kushoto) akisikiliza maelezo ya kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma Jana Mei 29,2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katika) akikagua mifumo ya kuchakata majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph na Mkuu wa Kitengo cha Majitaka na Mazingira DUWASA, Daniel Mgunda.
Katibuu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga akipanda mti wa mparachichi katika eneo la mifumo ya kuchakata majitaka inayoendeshwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) baada ya kuikagua jijini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Watatu kulia ni Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.(Picha na Mpigapicha Wetu).

Post a Comment

0 Comments