🔴LIVE: Mkutano Maalum ukiangazia Pongezi za Tuzo ya Miundombinu kwa Rais Samia na Mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha Sekta ya Miundombinu

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum unaofanyika leo Mei 30, 2022 (Jumatatu) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada; Pongezi za Tuzo ya Miundombinu kwa Rais Samia na Mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita kwenye kuimarisha Sekta ya Miundombinu

Unaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/3wTF3O5

Au kupitia
Meeting ID: 88179756201
Passcode: 554227

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha Sekta ya Miundombinu nchini.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments