🔴LIVE:TCRA ikitoa mafunzo kwa watoa huduma wa maudhui mtandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo Mei 18,2022 inakukaribisha katika Mafunzo kwa Watoa Huduma wa Maudhui Mtandaoni:
Lengo la mafunzo haya ni kuboresha utendaji na usimamizi wa vituo vya utangazaji vya mtandaoni (Online Media) na kuhimiza matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili;

Post a Comment

0 Comments