Makamu wa Rais Dkt.Mpango awasili nchini Uswisi kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 21 Mei akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich uliopo Kloten nchini Uswisi,kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uswisi mwenye makazi yake Berlin nchini Ujerumani, Dkt. Abdallah Possi. Makamu wa Rais anashiriki Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos nchini Uswisi.

Post a Comment

0 Comments