Rais Samia afungua semina ya wabunge wa CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma tarehe 21 Mei, 2022.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM (CAUCUS) Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza katika Semina Ya Wa Bunge wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa bungeni jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana akizungumza (wakati wa uwasilishaji wa mada) katika Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa bungeni jijini Dodoma.
Wajumbe wa Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo (wa kwanza kushoto) wakifuatilia Semina hiyo ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news