MEI 17, 2022: Ni Mjadala wa Kitaifa ukiangazia Ongezeko la Mishahara kwa Asilimia 23.3 na Uboreshaji wa Maslahi ya Wafanyakazi chini ya Serikali ya Awamu ya Sita USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Mei 17, 2022 (Jumanne) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada; Ongezeko la Mishahara kwa Asilimia 23.3 na Uboreshaji wa maslahi ya Wafanyakazi chini ya Serikali ya Awamu ya Sita

Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Mei 17, 2022 - Jumanne) utaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/38xUEJz

Au kupitia

Meeting ID: 83560929869
Passcode: 954907

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi chini ya Serikali ya awamu ya sita kwa pamoja.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news