Mheshimiwa Waziri Mhagama katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb) aliyekaa katikati, akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu Mhe. Hamisa H. Kalombola (aliyekaa kushoto), Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama (aliyekaa kulia) katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Waziri Mhagama (Mb) alikutana na kuzungumza na Makamishna wa Tume wakati wa mafunzo elekezi yaliyofanyika Dodoma. (Picha na PSC).

Post a Comment

0 Comments