Ujumbe maalum kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma"Tusimamie vizuri rasilimali watu iliyopo ili tubadilishe mwenendo, tubadilishe fikra na mtizamo wa hii rasilimali watu tuliyo nayo, ianze kuona ina jukumu kubwa la kuwajibika kwa Watanzania, kuwajibika kwa Taifa, kuvaa uzalendo, kuleta tija katika utendaji kazi kila siku,"Mheshimiwa Waziri, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Jenista Joackim Mhagama (Mb).

Post a Comment

0 Comments