Namna nilivyopona magonjwa ya zinaa

NA MWANDISHI WETU

NIKIRI kuwa katika maisha yangu sikuwa mwaminifu katika suala zima la mahusiano ya kimapenzi, nilikuwa na wapenzi zaidi ya watatu kwa wakati mmoja, hiyo yote ni kutokana na tamaa zangu za kimwili ambazo naweza kusema hapo baadaye zilinigharimu sana.

Jina langu ni Moni, mara baada ya kupata kazi na kuanza kuishi maisha ya kijitegemea, niliishi kwa kujiachia sana maana kwa wazazi wangu nilikuwa wananibana sana. Baba alikuwa akitaka kila mtu katika familia kurejea nyumbani kabla ya saa moja usiku na ni marufuku kulala nje.

Utaratibu huo ulikuwa unanikera sana maana rafiki zangu walikuwa wanatoka usiku na kwenda sehemu mbalimbali za starahe, lakini mimi nilikuwa nabaki nyumbani. Nilijiapiza siku nikipata kazi ni lazima nihame nyumbani na kwenda kuishi maisha ya kujitegemea ili niwe na uhuru zaidi maishani mwangu.

Kama bahati nilikuja kupata kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha viberiti, kazi hii ilikuwa na mshahara wa wastani, lakini kwa kuwa sikuwa na majukumu mengi ninaweza kusema ulinitosha kabisa.

Baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu niliamua kupanga chumba ili niishi mwenyewe, tayari nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye nilisoma naye, kila mara alikuwa anakuja Ghetto kunitembelea. Niliona haya ndio maisha ambayo nilikuwa nayahitaji kwa muda mrefu.

Lakini pale kazini kulikuwa na wasichana wengi wazuri kiasi kwamba nilianza kuwatongoza, nilifanikiwa na kuanza kutembea nao, mara nyingi walikuwa wanakuja tu Ghetto kwangu. Sikujali chochote kile, nilitumia uhuru wangu na fedha zangu jinsi ambayo nilitaka, nilitumia kila mbinu kuweza kuwa na wanawake wengi.

Ghafla nilianza kuumwa sana sehemu za siri, nilipoenda kupima hospitali niliambiwa nimeambukizwa magonjwa ya zinaa, nilipewa dawa na kuanza kutumia lakini sikupona moja kwa moja. Nilisumbuka na magonjwa hayo hadi kiasi cha kuacha kazi, nilienda hadi kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio yoyote.

Siku moja nikiwa kwenye mitandao ya kijamii niliona kuwa Dr. Kiwanga anatibu magojwa ya zinaa kama vile Kisonono, niliamua kuchukua namba yake na kumpigia na kumueleza tatizo langu. Nilifika ofisi kwake na kunipatia tiba ambayo naweza kusema ndio imeokoa maisha yangu maana nilikuwa nimekata tamaa.

Kwa sasa nimeamua kuwa mwaminifu katika mahusiano, nipo na mwanamke mmoja pekee ambaye ninampenda sana, asante sana kwa Dr. Kiwanga kwa tiba yako iliyoweza kubadili maisha yangu.

Kumbuka Dr. Kiwanga anatibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo, pia anasuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254769404965, barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti yake ambayo ni www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news