NI LEO SAA 10 KAMILI JIONI, USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika leo Mei 21, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12:30 jioni.
Mada; Mchango wa Filamu ya 'Tanzania: The Royal Tour' Katika Kukuza Diplomasia ya Uchumi.

Muda ukifika utaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/3NyLFab

Au kupitia
Meeting ID: 890 8330 9047
Passcode: 803462

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili Mchango wa Filamu ya 'Tanzania: The Royal Tour' Katika Kukuza Diplomasia ya Uchumi Katika Taifa letu.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments