Rais Samia amteua Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bwana Hassan Omani Kitenge kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Kabla ya uteuzi huo Kitenge alikuwa Mkurugenzi wa Mikataba ya Utendaji Kazi Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

1 Comments

Previous Post Next Post

International news