Rais Samia atoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima, wanaoishi mazingira magumu kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo mchele, mafuta ya kupikia, sukari, mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments