Rais Samia awasili Tabora kwa ziara ya kikazi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Innocent Bashungwa, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, viongozi wa Serikali na Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili uwanja wa ndege wa mkoa Tabora. Leo Mei 17, 2022.
Mheshimiwa Rais atakuwa na ziara ya Kikazi ya siku 3 Mkoani Tabora ambapo atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuongea na wananchi katika maeneo tofauti mkoani humo.

Post a Comment

0 Comments