🔴LIVE:Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Barabara ya Nyahua-Chaya kilomita 85.5 mkoani Tabora

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Mei 17,2022 akishiriki ufunguzi wa Barabara ya Nyahua-Chaya kilomita 85.5 mkoani Tabora.
Post a Comment

0 Comments