Tazama ngoma kali kutoka kwa mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke (Nimeolewa)

NA DIRAMAKINI

HIVI karibuni Mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke alizua gumzo baada ya kutembea mtaani na Bango la 'Natafuta Mume' ambapo alisisitiza kuwa haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi.
'Nimeolewa' hiki ni kibao kipya kutoka kwa mrembo huyu ambaye alitembea na bango akisema anatafuta mume wa maisha wa kumuoa mwenye miaka 20 hadi 70 na kigezo chake alitaka awe mstaarabu na mcha Mungu. Furahia ngoma hiyo hapo juu.

Post a Comment

0 Comments