'Vile tunaamka na asilimia 23.3, asante Mama umeupiga mwingi sana'

NA DIRAMAKINI

"Serikali imepanga kutumia kiasi cha shilingi trilioni 9.7 katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kugharamia malipo ya mishahara ya watumishi wote katika Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Taasisi na Wakala za Serikali.
“Bajeti ya mishahara ya mwaka 2022/23 inaongezeko la shilingi trilioni 1.59 sawa na asilimia 19.51 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha wa 2021/22".

Post a Comment

0 Comments