Ziara ya Rais Samia mkoani Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu tarehe 17 Mei 2022. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu tarehe 17 Mei 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu tarehe 17 Mei 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kigwa, Igalula Mkoani Tabora alipokuwa njiani kutoka Kijiji cha Tura Wilaya ya Uyui kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Barabara ya Nyahua_ Chaya tarehe 17 Mei 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news