Asilimia 70 ya gharama zinazotumika kuchimba dhahabu huenda kwa watoa huduma-Mhandisi Bujashi

NA DIRAMAKINI

"Ukweli ni kwamba zaidi ya asilimia 70 ya gharama zinazotumika kuchimba dhahabu huenda kwa watoa huduma, kwa kipindi cha hivi karibuni wameanza kupata uelewa mkubwa baada ya kuanzishwa kwa Sheria ya Local Content ambapo Watanzania wamepata fursa ya kutoa huduma ndani ya migodi mfano huduma ya chakula, vifaa vya kushikilia miamba ardhini, uzalishaji wa vifaa vya uchimbaji;

Post a Comment

0 Comments