'Hii ni Sensa muhimu sana kwangu, familia na Taifa'

NA DIRAMAKINI  

SENSA ya Agosti 2022 itakuwa ni ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964. Sensa nyingine zilifanyika mwaka 1967, 1978, 1988, 2002 na 2012.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge anasema kuwa "Sensa ya watu na makazi Agosti 23,2022 ni muhimu kwangu, kwa familia yangu. wafanyakazi wenzangu na nchi yangu, sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa."

Post a Comment

0 Comments