Mada; Maendeleo ya Miundombinu na Faida za Uwekezaji katika Visiwa vinavyoizunguka Zanzibar.

Muda ukifika utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3n36kb5

Au kupitia
Meeting ID: 830 7950 2433
Passcode: 917557

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.