JAMBO LENYEWE NI JUMAMOSI SAA 10 KAMILI JIONI, MJULISHE NA MWENZAKO

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Juni 11, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada; Mchakato wa Uhamasishaji matumizi ya Gesi Asilia na Umeme kama Mbadala wa Nishati ya Mafuta kwenye Magari
Muda ukifika (Saa 10 kamili jioni, Juni 11, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3mnBvgR

Au kupitia
Meeting ID: 81783572150
Passcode: 335695

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujifunze kuhusu mchakato wa Uhamasishaji wa matumizi ya Gesi Asilia na Umeme kama mbadala wa Nishati ya Mafuta na umuhimu wake kwenye Magari.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments