Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania-Zanzibar, Mhe. Balozi Mohamed Haji Hamza akimvisha beji ya Sensa 2022 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt.Wilson Charles Mahera


Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania-Zanzibar, Mhe. Balozi Mohamed Haji Hamza akimvisha beji ya Sensa 2022 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Charles Mahera wakati kamisaa huyo alipotembelea Ofisi za Tume jijini Dodoma leo Juni 13,2022 ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi inayotarajia kufanyika tarehe 23 Agosti, 2022.(Picha na NBS).

Post a Comment

0 Comments