Mkurugenzi Mkuu wa NSSF awapa neno Watanzania kuhusu Sensa

"Natoa rai kwa Watumishi wenzangu, wanachama wa NSSF na Watanzania kwa ujumla, kushiriki katika Sensa ya Watu na Makazi tarehe 23 Agosti 2022. Sensa kwa Maendeleo ya Taifa, Jiandae Kuhesabiwa".

Post a Comment

0 Comments