Mwanakijiji:Huu ni mwaka wa Sensa, nipo tayari na familia yangu kuhesabiwa

"Huu ni mwaka wa Sensa ya Watu na Makazi (2022).Tunaishukuru sana Serikali kwa mpango huu, kwa kuwa utaleta manufaa kwa kaya,familia, jamii, vitongoji,vijiji,mitaa, kata,halmashauri na Taifa kwa ujumla. Mimi na familia yangu tupo tayari kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa maafisa wa Sensa ifikapo Agosti 23,"amesema Said Juma mkazi wa Kijiji cha Hoyoyo kilichopo Halmahauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani katika mazungumzo na DIRAMAKINI.

Post a Comment

0 Comments