NI JUNI 25 MAALUM:Itaangazia Maendeleo ya Miundombinu na Faida za Uwekezaji katika Visiwa vinavyoizunguka Zanzibar

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Juni 25, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Maendeleo ya Miundombinu na Faida za Uwekezaji katika Visiwa vinavyoizunguka Zanzibar.

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Juni 25, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3n36kb5

Au kupitia
Meeting ID: 830 7950 2433
Passcode: 917557

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments